ASSALAMU ALAIKUM,
Dear participant please have a look to the following references: reference 1 reference 2 reference 3
Remember our MOTTO EVERY ONE IS CAPABLE TO PASS THIS COURSE
ALL THE BEST.
Assalam Alykum Warahmatullah. Samhan Dr. Mimi nimwanafunz wa first Year degree Procurement. Ombi letu kwako ni kuwa mfumo wa magroup ya Business Mathemarics ubadilishwe. Namaanisha kuwa course ya procurement na Account tuchanganyikane kwasababu 1. Procurement tupo wachache, 2. Tutajenga ushindani usiyokua na maana. watu watajenga ushindani wa chuana baina ya course moja na nyengine badala ya kusaidiana. Kwa kufuatia hivyo viongizi wa course ya Procurement na Account tumekubaliana tuchanganyike. Hivyo tumeona hili tulifikishe kwako na tunaomba mda tena kwa ajili ya kuyatengeneza magroup upya. Tunaamin utatuelewa na utatukubalia na malengo yetu ya kusaidiana yatatimia InshaAllah. Ahsante sana na tunakutakia uwajibikaji mwema.
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteAssalam Alykum Warahmatullah. Samhan Dr. Mimi nimwanafunz wa first Year degree Procurement. Ombi letu kwako ni kuwa mfumo wa magroup ya Business Mathemarics ubadilishwe. Namaanisha kuwa course ya procurement na Account tuchanganyikane kwasababu 1. Procurement tupo wachache,
ReplyDelete2. Tutajenga ushindani usiyokua na maana. watu watajenga ushindani wa chuana baina ya course moja na nyengine badala ya kusaidiana. Kwa kufuatia hivyo viongizi wa course ya Procurement na Account tumekubaliana tuchanganyike. Hivyo tumeona hili tulifikishe kwako na tunaomba mda tena kwa ajili ya kuyatengeneza magroup upya. Tunaamin utatuelewa na utatukubalia na malengo yetu ya kusaidiana yatatimia InshaAllah. Ahsante sana na tunakutakia uwajibikaji mwema.
Thank you for your response, it done
Delete